Revelation of John 9:9

9 aWalikuwa na dirii kama za chuma, na sauti za mabawa yao zilikuwa kama ngurumo za farasi wengi na magari mengi yakikimbilia vitani.
Copyright information for SwhKC